Sunday, September 4, 2011
MATUMAINI YA TIMU YA SOKA YA TAIFA YA TANZANIA YAZIDI KUFIFIA
Timu ya taifa ya soka ya Tanzania jana imetoa sare ya bao 1-1 na timu ya taifa ya Algeria hivyo kuzidi kuzima ndoto za timu yetu ya Tanzania kufuzu kwa fainali za mataifa ya Afrika mwaka 2012. Hivyo kuifanya timu yetu ya taifa kuwa watazamaji tu kwenye luninga. Katika hili la kushindwa kwa timu yetu kulisababishwa na nini?
1. Kiwango kidogo cha wachezaji wa timu yetu ya Taifa?
2. Kukosa kwa juhudi binafsi kwa wachezaji wa kitanzania?
3. Maandalizi ya zimamoto ya timu yetu ya taifa?a ya soka ya Tanzania jana imetoa sare ya bao 1-1 na timu ya taifa ya Algeria hivyo kuzidi kuzima ndoto za timu yetu ya Tanzania kufuzu kwa fainali za mataifa ya Afrika mwaka 2012. Hivyo kuifanya timu yetu ya taifa kuwa watazamaji tu kwenye luninga. Katika hili la kushindwa kwa timu yetu kulisababishwa na nini?
1. Kiwango kidogo cha wachezaji wa timu yetu ya Taifa?
2. Kukosa kwa juhudi binafsi kwa wachezaji wa kitanzania?
3. Maandalizi ya zimamoto ya timu yetu ya taifa?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment