Thursday, September 1, 2011

NINI MTAZAMO WAKO JUU YA UONGOZI WA RAIS KIKWETE?

Katika vikao vya bunge vilivyokuwa vikiendelea mjini Dodoma kulitokea suala la kusimamishwa kazi kwa katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini ndugu David Jairo. Ikaonekana katika uchunguzi uliofanyika ulionesha kuwa ndugu Jairo hana hatia hivyo katibu mkuu kiongozi Filemon luhanjo alimrudisha ndugu Jairo pasipo kulialifu bunge ambalo ndilo lilimpa ndugu Jairo likizo. Je! Katika mihimili hii mikuu ya dola nani aliingilia mamlaka ya mwenzake kati ya bunge na serikali?unge vilivyokuwa vikiendelea mjini Dodoma kulitokea suala la kusimamishwa kazi kwa katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini ndugu David Jairo. Ikaonekana katika uchunguzi uliofanyika ulionesha kuwa ndugu Jairo hana hatia hivyo katibu mkuu kiongozi Filemon luhanjo alimrudisha ndugu Jairo pasipo kulialifu bunge ambalo ndilo lilimpa ndugu Jairo likizo. Je! Katika mihimili hii mikuu ya dola nani aliingilia mamlaka ya mwenzake kati ya bunge na serikali?

No comments:

Post a Comment