Sunday, September 4, 2011

MATUMAINI YA TIMU YA SOKA YA TAIFA YA TANZANIA YAZIDI KUFIFIA

Timu ya taifa ya soka ya Tanzania jana imetoa sare ya bao 1-1 na timu ya taifa ya Algeria hivyo kuzidi kuzima ndoto za timu yetu ya Tanzania kufuzu kwa fainali za mataifa ya Afrika mwaka 2012. Hivyo kuifanya timu yetu ya taifa kuwa watazamaji tu kwenye luninga. Katika hili la kushindwa kwa timu yetu kulisababishwa na nini? 1. Kiwango kidogo cha wachezaji wa timu yetu ya Taifa? 2. Kukosa kwa juhudi binafsi kwa wachezaji wa kitanzania? 3. Maandalizi ya zimamoto ya timu yetu ya taifa?a ya soka ya Tanzania jana imetoa sare ya bao 1-1 na timu ya taifa ya Algeria hivyo kuzidi kuzima ndoto za timu yetu ya Tanzania kufuzu kwa fainali za mataifa ya Afrika mwaka 2012. Hivyo kuifanya timu yetu ya taifa kuwa watazamaji tu kwenye luninga. Katika hili la kushindwa kwa timu yetu kulisababishwa na nini? 1. Kiwango kidogo cha wachezaji wa timu yetu ya Taifa? 2. Kukosa kwa juhudi binafsi kwa wachezaji wa kitanzania? 3. Maandalizi ya zimamoto ya timu yetu ya taifa?

Thursday, September 1, 2011

NINI MTAZAMO WAKO JUU YA UONGOZI WA RAIS KIKWETE?

Katika vikao vya bunge vilivyokuwa vikiendelea mjini Dodoma kulitokea suala la kusimamishwa kazi kwa katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini ndugu David Jairo. Ikaonekana katika uchunguzi uliofanyika ulionesha kuwa ndugu Jairo hana hatia hivyo katibu mkuu kiongozi Filemon luhanjo alimrudisha ndugu Jairo pasipo kulialifu bunge ambalo ndilo lilimpa ndugu Jairo likizo. Je! Katika mihimili hii mikuu ya dola nani aliingilia mamlaka ya mwenzake kati ya bunge na serikali?unge vilivyokuwa vikiendelea mjini Dodoma kulitokea suala la kusimamishwa kazi kwa katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini ndugu David Jairo. Ikaonekana katika uchunguzi uliofanyika ulionesha kuwa ndugu Jairo hana hatia hivyo katibu mkuu kiongozi Filemon luhanjo alimrudisha ndugu Jairo pasipo kulialifu bunge ambalo ndilo lilimpa ndugu Jairo likizo. Je! Katika mihimili hii mikuu ya dola nani aliingilia mamlaka ya mwenzake kati ya bunge na serikali?

Tuesday, August 30, 2011

NINI HATMA YA TAIFA LA LIBYA

Wakati waasi wanaompinga kanal Gaddaf wakiwa wanashikilia sehemu kubwa ya viunga vya jiji la Tripol. Imeelezwa kuwa mke wa gaddaf na wanawe watatu wamekimbia nchi hiyo ya Libya. Je! kwa kukimbia kwa familia ya gaddaf ni mwanzo na mwisho wa utawala wa kiongozi huyo wa libya ambaye amedumu madarakani kwa kipindi cha miaka 42?

Monday, August 29, 2011

YANGA YAKATAA KUVAA JEZI ZA WADHAMINI

Unafikiri kitendo cha yanga kukataa kuvaa jezi za wadhamini ni ulimbukeni wa viongozi wa soka la bongo ambao wanafanya soka letu linazidi kurudi nyuma kila kukicha?

Manchester united wins 8-2 against arsenal

In this season did arsenal will be among of big four team

Sunday, August 28, 2011

Utumwa wa wananchi wa tanzania kwenye viwanda vya wawekezaji wa kigeni ni moja ya matatizo yanayofanya kuongezeka kwa umasikini kwa watanzania?